Monday, January 9, 2017

Kilimo Hifadhi kinatibu tatizo la ukame 100%

- kuhifadhi ardhi kunawezesha shamba kutunza unyevu wa asili kwa zaidi ya mwaka mzima bila mvua kunyesha. ndo maana mimea ya asili haitegemei mvua 100% ili istawi na kutoa mavuno yake.
 tunaweza kufunika ardhi yetu katika kilimo cha mboga mboga na tukamwagilia mara moja kwa wiki
kilimo cha mahindi tunaweza kufunika mashamba yetu wakati wa ukame

ardhi yenye kichanga kwa kuwa inapoteza maji haraka, kwa uwakika wa 100% hii ndiyo njia sahihi kutunza unyevu

1 comment: