Wednesday, July 24, 2013

AICT-UKEREWE PAMOJA TUWALEE 2013

KAZI INAFANYIKA KUHAMASISHA JAMII KULIMA MBOGA MBOGA





KUHAMASISHA KILIMO CHA VIAZI LISHE PIA NI KAZI YETU

KILIMO CHA NYANYA KUZUNGUKA MAKAZI PIA KINALIPA

TUPO OFISINI KUKUEREKEZA PALE ULIPOKWAMA





MAJEMBE YA PAMOJA TUWALEE KAZINI

KAZI NA KIBURUDISHO

LAKINI CHA KUSHANGAZA JUA LIKIZAMA LINAZAMA NA RIZIKI ZETU!!!!