Sunday, May 26, 2013

za kale zipo wazee wenzangu

NAKUMBUKA masongi ya zamani wikiend ijayo nataka nikae niyasikilizee mpaka basi.

baadhi ya nyimbo za zamani ninazozipenda.
1) makumbele
2) sauti ya mnyonge-remy ongara
3) ukiwa mtenda mabaya-remy
4) shida-mbaraka mwishehe
nk