Wednesday, July 24, 2013

AICT-UKEREWE PAMOJA TUWALEE 2013

KAZI INAFANYIKA KUHAMASISHA JAMII KULIMA MBOGA MBOGA





KUHAMASISHA KILIMO CHA VIAZI LISHE PIA NI KAZI YETU

KILIMO CHA NYANYA KUZUNGUKA MAKAZI PIA KINALIPA

TUPO OFISINI KUKUEREKEZA PALE ULIPOKWAMA





MAJEMBE YA PAMOJA TUWALEE KAZINI

KAZI NA KIBURUDISHO

LAKINI CHA KUSHANGAZA JUA LIKIZAMA LINAZAMA NA RIZIKI ZETU!!!!

Sunday, May 26, 2013

za kale zipo wazee wenzangu

NAKUMBUKA masongi ya zamani wikiend ijayo nataka nikae niyasikilizee mpaka basi.

baadhi ya nyimbo za zamani ninazozipenda.
1) makumbele
2) sauti ya mnyonge-remy ongara
3) ukiwa mtenda mabaya-remy
4) shida-mbaraka mwishehe
nk

Monday, February 18, 2013

UJAMAA WA KWELI UMEBAKIA KATIKA NYUMBA ZA IBADA SERIKALINI UMEISHIA KATIKA VITABU


VIONGOZI WA KANISA LA AICT UKEREWE WAKIBEBA MAWE KWA AJILI YA UJENZI WA KANISA



WAUMINI WA KANISA LA AICT-UKEREWE WAKIFANYA MAOMBI BAADA YA KUMALIZA KUSOMBA MAWE KWA AJILI YA UJENZI WA KANISA.